Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Bht nafikiria kama ni picha uzipendazo sana sababu ya kumbukumbu binafsi au hata na ndugu/marafiki zako?
Hehehe au watu wawe wanamchana mhusika?
mamkwe hii imenikumbusha rafiki yangu aligombana na BF wake ikafika kuamua kuchanachana picha zao nyingi pamoja na za kuvalishana pete nilichofanya nilimnyang'anya nikahifadhi waliporudiana alifunga safari kuja kuniomba nimrudishie tena na nilifanya hivyo mpaka leo wameoana na zile picha wanazo.
:focus:hakuna haja ya kuendelea kuzihifadhi kama uwezekano wa kurudiana haupo. unakuwa na mahusiano na mtu mwingine unapoendelea kuhifadhi picha hizo inaweza kuwa moja ya kusababisha ugomvi
Kwa bahati mbaya sana you cant get rid of your brain, and the brain can play tricks on you....Lizzy binafsi if we are done we are done.....
I want nothing to remind me of you, kwanza ili iweje?
Kwa bahati mbaya sana you cant get rid of your brain, and the brain can play tricks on you....
A thought can be triggered by many things..........not necessarily a photo.....
inaonekana ungepata nafasi ungekata dudu yake utupie mbwa kabisa!!mi nilizichana,nikazichoma moto,majivu nikayafunga kwenye kitambaa kichafu,nikatupa porini!
Duh! Yote tu kuachwa NJOO KWANGUmi nilizichana,nikazichoma moto,majivu nikayafunga kwenye kitambaa kichafu,nikatupa porini!
Nafikiri issue hapa ni kwanini hutaki kukumbuka ...... hutaki kumkumbuka huyo mtu, hutakikukumbuka moments au hutaki ''ajae'' aone yaliyopita kwako.Well kumbukumbu ambazo huna uwezo wa kuziondoa (sio mali yako) huwezi kusumbuka nazo. Ila picha na zawadi ni kama unajitakia mwenyewe kukumbuka.
Cantalisia hongera mwaya kwa kufuta kila kinachohusu zamani.
Asante Lizzy,Well kumbukumbu ambazo huna uwezo wa kuziondoa (sio mali yako) huwezi kusumbuka nazo. Ila picha na zawadi ni kama unajitakia mwenyewe kukumbuka.
Cantalisia hongera mwaya kwa kufuta kila kinachohusu zamani.
right to the point........zile picha ni sehemu ya maisha yako uliyopitia, ni muhimu ku zienzi sababu sidhani kama kutakuwa na bad memories tu kuhusu picha pale mnapoachana kuna wakati mzuri pia....picha ni picha mkiachana si lazima kuzichana unaweza kuzihiadhi kwa ukumbusho wa maisha yako
That is alright, kwa mwanzoni.Asante Lizzy,
Nikianza upya inakuwa ni upya wa ukweli,
Mpaka sehemu za kwenda zinakuwa tofauti kbs!!!!
zile picha ni sehemu ya maisha yako uliyopitia, ni muhimu ku zienzi sababu sidhani kama kutakuwa na bad memories tu kuhusu picha pale mnapoachana kuna wakati mzuri pia....picha ni picha mkiachana si lazima kuzichana unaweza kuzihiadhi kwa ukumbusho wa maisha yako
Kila kitu hata nguo alizo ninunulia nazichoma moto sitaki kabisa kukumbuka tuliko toka yaani naanza upya kabisa nateketeza kila kitu
Kwasababu sio sehemu ya maisha yake tena. . . Kumbukumbu mbaya. . .Nafikiri issue hapa ni kwanini hutaki kukumbuka ...... hutaki kumkumbuka huyo mtu, hutakikukumbuka moments au hutaki ''ajae'' aone yaliyopita kwako.
Inamana na huyo mpya atataka tuwe tunaenda kule nilikokuwa naenda na yule wa zamani?That is alright, kwa mwanzoni.
lakini utakwenda tu hata zile sehemu za zamani........usiwe selfish......utachagua wewe sehemu za kwenda......yeye je?
At least it is under my capability to get rid of one of the catalysts that could have speeded up the memories.....Kwa bahati mbaya sana you cant get rid of your brain, and the brain can play tricks on you....
A thought can be triggered by many things..........not necessarily a photo.....