Pichani: alikamwe akitoa mafunzo Kwa uongozi wa Pamba Jiji waliofika jangwani kujifunza

Pichani: alikamwe akitoa mafunzo Kwa uongozi wa Pamba Jiji waliofika jangwani kujifunza

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe akitoa semina kwa Viongozi wa Klabu ya Pamba Jiji kutoka Mwanza, jinsi mfumo wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Yanga inavyofanya kazi.

Vongozi wa Pamba Jiji iliyopanda kushiriki Ligi Kuu ya NBC, umefika Makao Makuu ya Klabu ya Yanga, Jangwani, Jijini Dar Es Salaam Leo, Mei 20, 2024 wakiwa na lengo la kujifunza utendaji kazi wa Idara mbalimbali ndani ya Klabu ya Yanga.
#WasafiSports

NB: Walianza Tp mazembe......now wamekuja pamba Jiji kujifunza football management......

Swali langu:

Je Simba mnafeli wapi? Usemaji sio ucomedian

1716217454311.jpg
 
Back
Top Bottom