Pichani: Halima Vunja bei alivyoshinda kwa K.O

Pichani: Halima Vunja bei alivyoshinda kwa K.O

BabaMia

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2024
Posts
270
Reaction score
554
HALIMA VUNJABE

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Halima Ramadhan Vunjabei ameshinda pambano lake kwa Knock Out ya raundi ya tatu dhidi ya bondia Songul Ayten lililiofanyika usiku wa novemba 23, 2024 mjini Munich nchini Ujerumani.

Halima Vunjabei anakuwa bondia wa kwanza mwanamke kushinda kwa KO nje ya nchi baada ya bondia Abdul Ubaya ambaye ni mwanaume kumchapa kwa KO

Bondia wa Urusi Ibragim Estemirov oktoba 25, 2024 na kulamba shilingi milioni tano kama zawadi ya Knock Out ya Mama.
1732546806928.jpg
 
Mshindi ana hali hiyo, je huyo aliyeshindwa ana hali gani maskini😀😀 mchezo wa kupigana bila sababu hadi kutoana manundu hivyo🙌
 
Back
Top Bottom