Pichani jengo kubwa la kisasa la trump huko Las Vegas marekani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Jengo kubwa la kisasa la ghorofa la trump huko Las Vegas
 
Attachments

  • 1740231977837.jpg
    1740231977837.jpg
    976.4 KB · Views: 3
Huyo ndio maana alikataa mshahara wa dola laki nne kwa mwaka na alipolazimishwa kwamba kisheria ni lazima apokee salary slip kama mtumishi mwingine yeyote wa Marekani ndipo kwa jeuri akaamua kupokea dola moja (1) tu kwa mwaka mzima.

Anadai yeye kuna mambo anayotaka kuifanyia Marekani.

Sisi huku marais wanajipangia mishahara ya kufuru halafu kwa ushenzi bado wanaipora nchi na kuficha hela walizopora ughaibuni.

Hata huu mradi wa bandari tulioambiwa eti wamepewa waarabu wa Dubai ni ulaghai mtupu ni wa watawala tu ila waarabu wanatuhumiwa tu kuhalalisha dili.
 
Ila Trump ana vituko. Sasa hivi vitu vimepanda bei marekani lakini anamlaumu Obama na Biden ndo wamesababisha.
 
Trump towers ni mfululizo wa majengo ya aina hiyo zaidi ya 50 sio tu ndani ya Marekani,pia unaweza kuyapata kwenye nchi nyingine kama UAE,Phillipines na China..Trump ana hela yule
Kwenye orodha ya màtajiri duniani anashika namba ngapi?
 
Huyo ndio maana alikataa mshahara wa dola laki nne kwa mwaka na alipolazimishwa kwamba kisheria ni lazima apokee salary slip kama mtumishi mwingine yeyote wa Marekani ndipo kwa jeuri akaamua kupokea dola moja (1) tu kwa mwaka mzima.

Anadai yeye kuna mambo anayotaka kuifanyia Marekani.

Sisi huku marais wanajipangia mishahara ya kufuru halafu kwa ushenzi bado wanaipora nchi na kuficha hela walizopora ughaibuni.

Hata huu mradi wa bandari tulioambiwa eti wamepewa waarabu wa Dubai ni ulaghai mtupu ni wa watawala tu ila waarabu wanatuhumiwa tu kuhalalisha dili.
Wacha chai!
 
Asilimia kubwa ni ya kwake japokuwa kuna mengi pia watu wameingia partnership kupitia Trump organization,na hayakuanza baada ya yeye kuwa raisi mengi yapo tangu miaka ya 80
Siyo kweli; in fact alipokuwa rais ndipo idadi ya majengo ikapungua. Trump siyo mmiliki wa majengo hayo, na wala hawezi kuamka leo na kusema anayauza. Hana hati za umiliki wa majengo hayo. Anazo apartment kadhaa za kupangisha New Your City pamoja na resorts za golf lakini hata ile Trump Tower ya New York City siyo mali yake.
 
Trump towers ni mfululizo wa majengo ya aina hiyo zaidi ya 50 sio tu ndani ya Marekani,pia unaweza kuyapata kwenye nchi nyingine kama UAE,Phillipines na China..Trump ana hela yule
Na hizo Trump Towers unazosema, sio zake, bali watu wanatumia jina lake kama "brand" ya kufanyia biashara. Trump anakula kamisheni ya matumizi ya jina lake.
 
Back
Top Bottom