Pichani: Victor Ambrose Calist (20) ni MTUHUMIWA au Sio MTUHUMIWA? CCM inapaswa kujibu swali hilo!!!

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
[h=3]Huyu ndo MTUHUMIWA NAMBA MOJA WA BOMU LA ARUSHA AMEFIKISHWA MAHAKAMANI LEO NA KUSOMEWA MASHITAKA 21[/h]




Mtuhumiwa mmoja kati ya tisa waliotiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka 21 ya mauaji na kujaribu kuua.

Victor Ambrose Calist (20) ambaye ni dereva wa bodaboda na mkazi wa
eneo la Kwa Mromboo jijini Arushai amesomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu mkazi, Devotha Kamuzora.
 
Kama ni NCHI NYINGINE sasa HIVI wazazi wa CALIST wameshaanza ku-SUE Serikali TUKUFU ya CCM...
Lakini inasikitisha kweli tunaWanasheria KIBAO lakini hakuna hata MMOJA independent anayeweza kujitolea kumsaidia KIJANA HUYU...

Only IF ni kosa CHAMA KINGINE KIMELIFANYA...
 
Inasikitisha sana kwamba Serikali yetu na vyombo vyake vya usalama wanaamini kwamba huyu kijana peke yake ndiye alihusika na mipango yote na utekelezaji wa ulipuaji wa Kanisa!
 
Polepole tutafika kwenye CRIME EGG YORK.

He's still innocent until proven guilty.

Mkono wa vyombo vya dola ni mrefu na hauna mwisho.

It feels good to commit gross crime but comes with heavy payment.
 

Umeongea vema mkuu. Na kwa kweli hii ni nafasi nzuri sana kwa wanasheria chipukizi kujenga jina. Wangejitokeza japo wawili hivi kumsaidia kijana huyu ili mradi itakuwa njia ya kujitangazia jina. Namkumbuka Wakili Nyange na Wakili Rweyongeza walivyotumia kesi za Mch. Christopher Mtikila miaka ya 90 kujitangaza. This is a great opportunity kwa Wanasheria chipukizi kutangaza umahili wao hapa ili mradi kitachowalipo ni hizo nyingine zitazokuja baada ya wao kujulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…