Pichaz: Mtoto wa kajala ni tishio kwa uzuri kwa vibinti vistaa vyote hapa bongo

Pichaz: Mtoto wa kajala ni tishio kwa uzuri kwa vibinti vistaa vyote hapa bongo

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

paula%2Bkajala99.jpg

 
maana ya mrembo tishio imepotoshwa hapa.

nyie kwenu urembo ni hadi awe na makalio makubwa au weupe.

na soma kichwa cha habari si uzuri kwa kila mtu bali ni tishio kwa uzuri kwa vibinti vistaa vya bongo
 
Amashawatishia? Lol... bongo ukiwa popular tu bac ww n mzur
 
Uzuri wake nini
sio una crash wanaouliza au unaona lugha uliyotumia kwenye heading haina mikungamo?
 
P funk kachukue mwanao kabla hajaanza kuuza nyama...
 
Mbona kawaida tu, ngoja afike 21 ndo utajua huyu ni mzuri au ni balehe ndo inayovutia watu
 
Mama yake amfundishe kuvaa basi, mbona amevaa viatu vya kiume?
 
Back
Top Bottom