Pichaz: Mtoto wa kajala ni tishio kwa uzuri kwa vibinti vistaa vyote hapa bongo

Hivi ni sahihi watu wazima kuweka picha ya mtoto kwenye mtandao na kumjadili bila ridhaa ya wazazi wake?
 
Baba mdachi mtoto cheusi mangala, hapa Majani pamoja na ujanja wako ila uliibiwa
 
Baba mdachi mtoto cheusi mangala, hapa Majani pamoja na ujanja wako ila uliibiwa

Sio kweli angalia kwa obama ni shombe Lakin watoto wako Kama huyo,mungu ndiye mtoaji,majani ni shombe we kidachi si mdachi
 
Huyu anakalishwa hata na msichana wangu wa kazi.
 
hihihihi uzuri gani sasa hapo? Hata goma langu zuri kuliko huyo
 
aka nako kameishaanza kupigiwa promo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…