fasta. Viatu umefuta? Muda huooo
Aisee, mimi napatikana. Sema wapi nikuzukie?.Uwiii.......natafuta partner.......
Aisee, mimi napatikana. Sema wapi nikuzukie?.
Poa wewe ukiiona Bajaji ya blue tu, ujui ndo mimi.....Ukifika pale gengeni........ni dip.......nitatoka........
Hahahaaaaaa. Ndio nazinduka. Mai hazibendi alinikatalia kutoka. Kuliendaje?