Picture Of Baby North West

mbona hakuna u-black hapo?

subiri hakue kue utauona sana sana kwenye nywele zitakuwa za kiafrica sasa hiv bado mtoto.

watoto wengi wakiwa wadogo uwa weupe sana ila wanachange taratibu
 
mkuu mbona kanye west huwa haonekani kwenye kile kipindi cha keep up with kadashians, wale wengine wanaonekana wakiwa na wapenzi wao lakini kim haonekani akiwa na kanye, hivi why??
 
Alikataaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…