Mchimba Chumvi JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 2,244 Reaction score 5,500 Nov 12, 2022 #1 Imepigwa na Othman michuzi
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Nov 12, 2022 #2 Mchimba Chumvi said: Imepigwa na Othman michuzi View attachment 2414273 Click to expand... Precision Air wabadili jina kama ilivyofanya air Msae baada ya kuuwa pale Chalinze mzee.. Napendekeza Waitwe MAJALIWA AIRLINE
Mchimba Chumvi said: Imepigwa na Othman michuzi View attachment 2414273 Click to expand... Precision Air wabadili jina kama ilivyofanya air Msae baada ya kuuwa pale Chalinze mzee.. Napendekeza Waitwe MAJALIWA AIRLINE
instanbul JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 12,037 Reaction score 17,212 Nov 12, 2022 #3 Maisha lazima yaendelee
Mchimba Chumvi JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 2,244 Reaction score 5,500 Nov 12, 2022 Thread starter #4 Ngalikihinja said: Precision Air wabadili jina kama ilivyofanya air Msae baada ya kuuwa pale Chalinze mzee.. Napendekeza Waitwe MAJALIWA AIRLINE Click to expand... Jina halitaharibu chochote kwenye biashara yao jamaa wata’thrive kama kawaida
Ngalikihinja said: Precision Air wabadili jina kama ilivyofanya air Msae baada ya kuuwa pale Chalinze mzee.. Napendekeza Waitwe MAJALIWA AIRLINE Click to expand... Jina halitaharibu chochote kwenye biashara yao jamaa wata’thrive kama kawaida
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Nov 12, 2022 #5 Mchimba Chumvi said: Jina halitaharibu chochote kwenye biashara yao jamaa wata’thrive kama kawaida Click to expand... Utakuwa hujui biashara au athari za majina yaliyowahi haribika kwenye biashara
Mchimba Chumvi said: Jina halitaharibu chochote kwenye biashara yao jamaa wata’thrive kama kawaida Click to expand... Utakuwa hujui biashara au athari za majina yaliyowahi haribika kwenye biashara
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 11,131 Reaction score 9,301 Nov 12, 2022 #6 Kwani wao ndo kampuni ya kwanza kupata ajali,labda kabla mliwaajalisha.