Picture of the Day

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165

They are now friends after a long, difficult and hard fought campaign.
 
Just to add here are some more pics..





And this one is my favorite
 
Huyo mama kama kizazi bado kipo lazima atuzalie black baby mwaka huu kwa style hii!!!sasa hivi atutaki mchezo mzungu akijichanganya we ongeza kizazi cheusi!!!!!
Haloooooooooooooooooo ya lewsky !!!!!!!!!!!!!!!!!!hiyoooooooooooooooo

mama kijana huyo damu changa mzeee katoka na lewsky lazima umuonyeshe dunia ilivyo!!!!!!!!!
 
Hiyo posture, picha ya mwisho... 🙂
I think she is less feminine. Hii lazima ilichangia hata mumewe kugonga nje.

Of course ni suala la maumbile tu, she doesn't have to be what she is not.
 
...Teh! teh!! teh!!! Mjaluo huyo mazee anaweza kumpelekea moto huyo mama mpaka akapagawa!!! Hilary bado analipa tu ingawa sura imeanza kuwa na wrinkles....
 
Icadon, hii ndio favorite yako; imechukuliwa muda kiduchu baada ya hiyo ya juu, hahahh:

 
...Nyani NgabuMcCain palin..tehe tehetehetehee !
 
Baadhi ya maoni ktk hii thread ni kielelezo tosha kwa nini nchi yetu ipo so backward..
 
Icadon, hii ndio favorite yako; imechukuliwa muda kiduchu baada ya hiyo ya juu, hahahh:



Sikuwa nimeona hiyo comment ya Icadon. The picture says a lot!
She really is the President material. I can picture her spanking Billy

Poor Hillary, she wish she was the boss
 


Joe Biden, Barack Obama, and Hillary Clinton (whispering to Barack) are all smiles following the first debate of the 2008 presidential campaign April 26, 2007 at South Carolina State University in Orangeburg, South Carolina.




Giggles after the CNN/YouTube Democratic Presidential Candidates Debate on July 23, 2007 at the Citadel Military College in Charleston, South Carolina.



Concentrated at a debate at the Univision debate at the University of Miami September 9, 2007 in Miami, Florida.



Post-debate talk




Comfortable together as they walk on the tarmack of the Reagan National airport in Washington DC on their way to a join rally in Unity, New Hampshire, on June 27, 2008.



Boarding the plane enroute from DC to New Hampshire.



It's all about the eyebrows as they sit next to each other on the plane.



Cheers!
 


Together at a Women For Obama fundraiser breakfast in New York on July 10, 2008.



Barack Obama and Hillary Clinton deplaning October 20, 2008 in Orlando, Florida





President-elect Barack Obama nominates Senator Hillary Rodham Clinton as US Secretary of State during a press conference in Chicago, Illinois, December 1, 2008.

 
Hizi picha ni kielelezo kuwa sasa wameungana na wako pamoja! Sasa nyie waswahili akili yenu iko kwenye kunaniiiiiiiiiiiiii tu basi hakuna jingine.
 
Hizi picha ni kielelezo kuwa sasa wameungana na wako pamoja! Sasa nyie waswahili akili yenu iko kwenye kunaniiiiiiiiiiiiii tu basi hakuna jingine.

Hahahahah...naachia hapo!
 
Hizi picha ni kielelezo kuwa sasa wameungana na wako pamoja! Sasa nyie waswahili akili yenu iko kwenye kunaniiiiiiiiiiiiii tu basi hakuna jingine.

Haha nimecheka kweli...tusione kichaka.......!
 
Haha nimecheka kweli...tusione kichaka.......!

hakuna la kuchekesha hapa maana utayashangaa mawazo ya watu kwa jinsi yalivyosheheni ujamiianaji tu............. hakuna lingine. Mtu aipewe kukaa karibu na mwanamke. Tayari akili imeshafikiri namna ya kujamiiana.
Ndio sababu watz wake zao wengi utembea na maboss wao. Sababu hii hii😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…