hakuna la kuchekesha hapa maana utayashangaa mawazo ya watu kwa jinsi yalivyosheheni ujamiianaji tu............. hakuna lingine. Mtu aipewe kukaa karibu na mwanamke. Tayari akili imeshafikiri namna ya kujamiiana.
Ndio sababu watz wake zao wengi utembea na maboss wao. Sababu hii hii😕