Picture of the Year.

kama Joti na Mpoki katika Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, Komedi
 
mmmh awe makini maana duh isijekuwa anampa bomu bureeeeeeeeee
 
"Mwovu hamdhanii vizuri mtu mwingine kwa kuwa haoni kwake ila tabia yake mwenyewe."
 
dooo
Pearl namimi nimefikiria hayohayo
unajuwa hawa jamaa hata kama niuwa kama hilo wao tayari presure juu
halafu inaonekana kachoka ile mbaya.
 
Huwa wanawachekea then wanawabaka....kesi kubaka kila siku!!
 
Hiki kitoto ni cha Kiarabu.

Kwa jamii yetu ya Tanzania, wengi wanaweza kufikiri kuwa ni Mu-Islaam.

Ila ukweli unaweza kuwa kwamba, binti ni Mkristo na ndiyo maana kapata nguvu ya kwenda hadi kwa huyo Mwanajeshi (KAFIRI) na kumpa uwa. Kama Watanzania wangelijua kuwa binti ni Mkristo, wasingeliona hata haja ya kuangalia hii picha.

Kwa kijana kama huyo kumwita Muovu au Mbakaji ni DHAMBI kubwa sana maana unamhukumu hata humfahamu. Siyo wote huko ni Wabakaji au Wauwaji. Hawa watoto wa watu nao wanauliwa kama mchwa kila siku kwa amri ya watu wachache wanaotawala White house. Kwa Israel huko ndiyo usiseme maana wao wanakiri kabisa kuwa wanazaliwa kwenye vita, kukulia kwenye vita na kufia kwenye vita na hivyo, vita hawaogopi kabisa.

Kila mtu mwenye busara, inabidi kuwaonea HURUMA hao wote wawili maana wako pale kwa AMRI ya watu kadhaa huko juu yao. Mtoto hawezi kukataa vita maana ni Baba zake, kaka zake ndiyo wanapigana. Kijana hawezi kukataa vita maana ni WAKUU wake juu wameamua. Akikataa na yeye ni Mwanajeshi, hukumu yake inajulikana. Kilichobaki ni kwenda tu.

Wanaoenda huko, wengine ni wale Vibaka, majambazi na kila mijitu yenye tabia mbaya za kila aina. Sasa yakifika huko, usitegemee kutakuwa salama usalimini. Castro wa Cuba alifanya hivyo kwa kumwaga Vibaka wote walioko gerezani na mitaani wakaingia USA. Florida na Miami kukawa na UWANJA wa Majambazi na Vibaka.
Ukisoma pia historia ya NJIA YA MSALABA, utakuta kuwa, watawala wa Europe baada ya kusimamisha vita zao ndani ya Europe, wale Askari na vibaka, walikosa kazi na sehemu ya kwenda. Lilipokuja ombi la kusaidia Wakristo huko Jerusalemu, wakafurahi sana na kuyapeleka haya majamaa. Hii mijitu ilikuwa na tabia mbaya sana na miuwaji isiyo na huruma. Kilichotokea ni kuchinja hadi Kuku walioko ndani ya Jerusalem.

Vita na UBAKAJI ni kama gari linalopita kwenye sehemu ya vumbi, vumbi lazima litimke tu.
 
Ni good friendship sign. Bora wangekuwa wanaishi kwa upendo namna hiyo!
 
this will be my favorite picture in 2011.......:whoo::whoo:
 
Nimejikuta machozi yananitoka nilipoitazama hii picha
 
"Mwenye kuondoa chuki, hutuliza moyo na akili yake."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…