Picture remake(Wakati huo na sasa)

Nimegundua kwa jinsi tulivyo sisi sasa hivi,wenzetu walikuwa hivyo mwaka 1900

Angalia vizuri hizo picha utaelewa namaanisha nini
Sio kweli. Nimeona picha moja ya uturuki kama sio ugiriki mwaka 1880 miaka 141 baadae wametupiga gepu la kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…