Picture remake(Wakati huo na sasa)


Moshi Kabla ya treni ☝️ baada ya kufufuliwa treni 👇sijapata picha ya mbele inayoonekana vizuri
 
Madhara ya vita, Allepo SyriaView attachment 1804893

Hii picha ni mfano tosha kwanini mshikamano wa kitaifa ni muhimu kuzidi flyovers, madaraja na mabarabara, mnaweza mkawa na vyote hivyo ila kwa utawala mbovu wa kibaguzi siku kikanuka na vikaharibiwa vyote. Wakenya tunaopitia humu tujifunze sana kwenye mapicha kama haya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…