Actually, somehow somewhat nakubaliana na ndugu zangu wa 'born-again' wanaodai kuwa wanamuziki wengi wa secular music ni maajenti wa Lucifer..nadhani decades mbili tatu zijazo, kwenda uchi wa mnyama itathibitishwa na UN kuwa ni haki ya kila binadamu..