Hivi nimezeeka au vipi? naona Awards za siku hizi hazina msisimko kama za zamani ,nakumbuka enzi hizo ukicheki Awards zinaleta hizia fulani kubwa kiasi cha kuongelea muda wote .
Enzi hizo kwenye hizi American Music Awards ambapo unamkuta Lionel Ritchie aki zi Host nakumbuka akisema "Outrageous" muda wote akishinda award.
Kwa sisi wapenda RnB , ilikuja Soul Train Awards , lakini ika kosa umaarufu baadae baada ya big names kuto show up ku accept their awards.
Ikaja Mkombozi BET Awards ilianza vizuri 2001 , Big stars mbaka Michael Jackson na james Brown wote walikuwepo ,ila naona inaanza kubore sasa .
BET Awards 2008 zilikua the best sio kama za this year.