Wakuu mu-hali gani...? ebwana katika tembeatembea yangu ya huko hewani nimekutana na hizi photos, ambazo zinaonekana ndo best photos for the last decade...Nimeona tushirikishane wakuu!
thanx wakuu...mi mwenyewe nilizikubali sana hasa hiyo ya ndege mwenye mtoto wake mdomoni...nashindwa kupata picha jamaa alieipiga hiyo picha alikuwa wapi....cjui alikua juu ya mti....?? em nisaidieni wakuu...