Wakenya sijui mlikosea wapi jamani... Wazungu waliwaachia kila kitu, waliwajengea kila kitu NBO
Leo Hii NBO ilitakiwa kua level moja kimaendeleo na Jo'burg kama tunavyojua Kenya walikua na settler system of colonial economy tofauti na sisi Tanzania
Though NBO imepiga hatua kidgo kutoka pale walipoachiwa na wakoloni wangepiga hatua kidogo basi NBO ingekua Jo'burg ya EA