PIE

PIE

na sio tarehe 22 mwezi wa saba

nawaza tu
 
Nlikuwa sipend na hadi leo sipendi hivi vitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hesabu imeficha siri nyingi tu tusizozijua, sema mfumo wetu wa elimu haupelekei hesabu kufundishwa ikiambatana na sababu na viini vya kwa nini tuwe na mahesabu ya namna hii au ile hivyo basi hesabu tutaishia kuzijua zile za accounting tu na kuendelea kulichukia somo.
 
Back
Top Bottom