Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
kumbe ni uongonop sio kweli.
PIE DAY ni tarehe 14 mwezi wa 3.
3.14
Ila hesabu imeficha siri nyingi tu tusizozijua, sema mfumo wetu wa elimu haupelekei hesabu kufundishwa ikiambatana na sababu na viini vya kwa nini tuwe na mahesabu ya namna hii au ile hivyo basi hesabu tutaishia kuzijua zile za accounting tu na kuendelea kulichukia somo.