Pierre kupotezwa ghafla

Pierre kupotezwa ghafla

Mavipunda

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
7,072
Reaction score
7,891
Ndani ya muda mchache huyu Pampula kapotezwa maboya watu wameshampotezea.Matukio ya kufuatana ya Msiba Wa Mengi , Mitusi ya Bashite msibani, Video feki ya Gwajima n.k.
Sidhani kama ile ahadi ya Majaliwa ya kumpa tiketi ya kwenda Misri kama itatekelezwa tena.
Kwa uzoefu wangu muda si mrefu utasikia tumchangie aende India mguu umeleta shida tena!!
 
Huu ni ushirikina kumuonbea binadamu mwenzio mabaya tena roho mbaya zaidi hata ya wakenya

Unafaifika nini pierre asiposikika
 
Bongo ina mambo, maisha yetu ya kila siku kama vile movie!
 
Huu ni ushirikina kumuonbea binadamu mwenzio mabaya tena roho mbaya zaidi hata ya wakenya

Unafaifika nini pierre asiposikika
Umeelewa kilichoandikwa? Au ndio walewale fisi maji
 
Back
Top Bottom