Impimpi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 466
- 964
Wakubwa habarini.
Ni muda sasa nimekuwa nikimfuatilia Konki liquid kupitia baadhi ya video clips zake Instagram.
Ni MTU poa Sana anavoonekana na mwenye furaha.Umaarufu wake umechagizwa Sana na ucheshi wake pale anapokata kilaji pale liquid bar na kutoa baadhi ya slogans zenye mvuto za mamaa nakufaaaa utabaki kileleni mawinguniii chiiiiiiiiii.
Ila sasa ili aweze kuwa na persistence kwenye huu umaarufu anahitaji kufanya kitu cha ziada kuelekea new milestone ya fame yake hii.
Konki liquid navoona sio comedian in such hivo ningependekeza Kama atapata watu WA media angalau wambebe katika hiki;
1.Atafute MTU amsaidie apate LIVE TV TALK SHOW yenye mandhari ya alipotokea I mean ki bar flani hivi huku akiongoza show na washikaji kadhaa ambapo michongo mbalimbali ya kutusua life itajadiliwa huku akiwepo na celebrity hata mmoja hivi .
Sent using Jamii Forums mobile app