Pierre Liquid ndio mtanzania anae ishi maisha ya furaha kuliko mtanzania mwingine yoyote yule..

THANK
THANK YOU FOR THE WISE SAYING OF THE MOMENT.

THANK YOU AGAIN!!
 
He don't give a https://jamii.app/JFUserGuide. He lives his own life and not other people's life. He do not want to fit into other people's life.

The curse of living ur life trying to fit into other people's life is the most strongest powerful and deadliest curse of all the time.

Pls dont do that. Just live ur life. People who really matter to you will stay with u only if u live ur life
 
Isokeee...isokeeey!!!
Jamaa amewateka hadi watasha kwa mbwembwe zake za kula ngano! Hataki shida anadai hata mwanamke hamtaki atamletea stress tu za nini. Tanda la 6*6 anajimwaya mwaya pekeake!
 
ulijuaje kwamba anafuraha?
Kipimo cha furaha kwa mleta mada labda ni pale anapojinasibu "mama nakufa leo, ..." Kwa watafiti atakuwa ameongeza eneo lingine la kufanya utafiti, kama kweli hiyo mama nakufa leo ni kipimo cha furaha au la.
 
Naona mashaka sana hivi tunaipima furaha na nini?
Mtu akinywa sana liquid(pombe) na kucheka ndiyo furaha?au akisema na kutabasamu ndiyo furaha?..
Hapo kwenye kupita Watanzania wote sasa ndiyo nazidi kupata ukakasi Mkuu,amewapitaje na ni kwa kiasi gani?.
Opininion can never be the fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…