Pierre Liquid ndio mtanzania anae ishi maisha ya furaha kuliko mtanzania mwingine yoyote yule..

the problem of today unhappy pple try to convice the world that are happy while they hurted inside....happynes is not things to declare but to lives it...make sure u live happy life instead of fighting to show ur happy
Kiswahili kinakufaa zaidi kuliko Kiingereza kilichopinda pinda hivi
 
Ikitafsiriwa kiswahili mnitag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yan
bila yeye nadhani tungekuwa ni nchi ya mwisho ambayo wananchi wake wanafuraha,big up kwa pierre
 
Raha ya ushuzi lazma unuke
 
Mkuu MTU asielewa hiki ulicho andika na akaona n upumbavu basi atakuwa na shida flani hv kichwani
 
ndiye mtanzania wa kwanza asiye mwanasiasa kula hela za mafala milioni 50 kirahisi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…