Pierre Liquid ndio mtanzania anae ishi maisha ya furaha kuliko mtanzania mwingine yoyote yule..

Na alifanikiwa kuwafarakanisha
yes, saa hii ndugai anafikiri lissu ndio mbaya wake kumbe ni ile laana ya kumpiga rungu la kichwa yule mgombea ubunge kule kongwa.

yule mzee wa watu wanawe ni watu wa heshma sana, wana laani mpaka leo, wanasubiri ndugai atoke madarakani wamfungulie kesi
 
Na sasa hivi kala shavu DSTV...

Kawa mzazi wa Nandy kwenye igizo Huba...


Cc: mahondaw
 

Ana mzidi Bashite AKA DAB?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…