Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Changamoto kwa wenzetu, wanasukumwa kuingia kwenye mahusiano kutoka na changamoto za kiuchumi; watakao bahatika kwa uchache kupata mtu sahihi ndio kama ulivyoshuhudia.Mahusiano yenye upendo, unyenyekevu na utii kamwe hayawezi yaka watesa wapendanao, na badala yake huruma na msamaha vinachukua nafasi kubwa zaidi katika wakati huo...π
And thi's why I'm always happy....π€
Kubadilika ni muhimu sanaKunywa pensi
Bora iwe hivyo kuliko kubeba gunia la misumari kichwaniApo automatically mahusiano ndio yanakupiga chini
Inabidi kupaza sauti ili wote wasikie
Funguka zaidi mkuu, tuweze kujifunzaYananihusu Mimi haya 100%[emoji1]
Yaani kama vile unanisema[emoji1787]
Kweli mkuuBora iwe hivyo kuliko kubeba gunia la misumari kichwani
Hakika mkuuInabidi kupaza sauti ili wote wasikie
Nimeipenda Hii kakalakeeeee!!Mahusiano yenye upendo, unyenyekevu na utii kamwe hayawezi yaka watesa wapendanao, na badala yake huruma na msamaha vinachukua nafasi kubwa zaidi katika wakati huo...π
And thi's why I'm always happy....π€
Shemeji, happy as always.Mahusiano yenye upendo, unyenyekevu na utii kamwe hayawezi yaka watesa wapendanao, na badala yake huruma na msamaha vinachukua nafasi kubwa zaidi katika wakati huo...π
And thi's why I'm always happy....π€
Nashangaa sana shemeji, skuizi wanaume ndio wamekua wanalalamika kuliko wanawake....πShemeji, happy as always.
Jaribu kuifanyia kazi dadaake, utakuja kunishukuru badae....πNimeipenda Hii kakalakeeeee!!
Dunia inaenda kasi sana kwenye muhimili wake shemeji,sijui hata itakuwaje?Nashangaa sana shemeji, skuizi wanaume ndio wamekua wanalalamika kuliko wanawake....π
Sasjui itakuaje kama huyo ndio future husband na baba wa familia...π€