MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Wewe unaye shinda humu, unashinda Facebook, Twitter na Instagram kushabikia CCM ilihali Ndugu zako hasa wazazi wako kule kijijini wanateseka kwa umasikini unao sababishwa na CCM.
Mfumo wa Elimu chini ya CCM ni Janga Kuu kabisa usijidanganye mtoto wako kusoma English Medium, kule sana anajua Kingereza ambacho sio ishu.
Wazazi wako ni wakulima kule kijijini ila kwa sababu ya mfumo wameendeleo kuwa masikini miaka nenda rudi na kuna ambao wameisha tangulia mbele za haki bila kupata maisha bora.
Mazingira ya Biashara ni Magumu sana, kuna mlolongo wa vibari vya kutaka kufungua biashara, Bado unasema CCM juu.
Wacha kuigiza