Piga kura kwa member wa KIUME anayekuvutia kwa michango yake humu Jf, kuhesabu kura ni tarehe 10 saa 6 usiku.

Shenazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
204
Reaction score
128
Mambo zenu.
Leo nataka tu-chitchat kiaina ingine kabisa.
Unachotakiwa kufanya ni kumpigia kura member yeyote wa KIUME humu Jf ambae anakuvutia kwa post zake, ushauri wake, swaga zake, ambush zake, mikato yake, vurugu zake, mawazo yake na kingine chochote kutoka kwake.
Mwisho wa siku yaani alhamisi ya tarehe 10 saa 6 kamili usiku tumpate MWANAUME mmoja atakayeibuka kidedea kwa kupewa kipaumbele na members wenzie humu Jf.

Kumbuka member mmoja, jina moja.
Usitumie Id yako hiyo moja kumrudia member huyo huyo kila wakati.

Mwisho wa kuhesabu kura tareh 10.
Majibu nitayaleta hapahapa jukwaani ChitChat.
Ruksa kubadili Id ili kumrudia member unayemtaka ashinde.

Karibuni.
Wote mnaruhusiwa kupiga kura, wadada na wakaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…