Piga kura kwa member wa KIUME anayekuvutia kwa michango yake humu Jf, kuhesabu kura ni tarehe 10 saa 6 usiku.

Ila hapa naweka kambi kusubiria watakaofunguka hahah
Hahaaa. Sitaki mie ujue. Unasubiria wale waliofunzwa kusema kweli daima pasi kujali wambea watasema nini. Lol.

Haya ngoja tusubiri wote huenda ticha wetu akapata japo kiji point na yeye. [emoji12] [emoji12]
 
Hayupo..! Maana hawaelewiki leo hivi kesho vile kiasi kwamba nashindwa kumgrantee mtu..!
 
Hapo hapo nasubiria,watu wanatirirka tu bila kujali nani atamwona wa ajabu safi kabisa. Ntasindikiza na kapicha kunogesha ubuyu
Hahaaa. Sitaki mie ujue. Unasubiria wale waliofunzwa kusema kweli daima pasi kujali wambea watasema nini. Lol.

Haya ngoja tusubiri wote huenda ticha wetu akapata japo kiji point na yeye. [emoji12] [emoji12]
 
Hivi mbona hizi threads za mpambano zimezidi yaani ni kama hamna aina nyingine ama ubunifu zero...

Daahhh hadi mwenye pesa Jf anatafutwa.kweli kila nabii na zama yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hapo nasubiria,watu wanatirirka tu bila kujali nani atamwona wa ajabu safi kabisa. Ntasindikiza na kapicha kunogesha ubuyu
Hahaaa. Nakujua mdogo wangu kwa picha zako. Ila ya ticha wetu muhimu. Najua yule mzee hivyo nina imani patakalika.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata member wa kiume wambea tunaruhusiwa kuwataja?
Kuna mtu anatakiwa ajichukulie ushindi.
 
Wacha uchokozi swahiba. Naanzaje Mtanga miee. Mana wanafika 50 ninaowaona michango yao iko vizuri na ina ubora wa hali ya juu hivyo hata kuvote kwa mmoja siwezi. Wacha kura yangu iharibike tu kwa leo.

Mi mzima kabisa.
Hapo sasa . Mi sikutaki kwenye Ile list aiseee watakuwekea vijiba vya roho bure[emoji38] [emoji38]
 
Hapo sasa . Mi sikutaki kwenye Ile list aiseee watakuwekea vijiba vya roho bure[emoji38] [emoji38]
Umeonaee. Haya zamu yako sasa swahiba kupiga kura. [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…