soma fresh mkuu member' wa kiume' duh ngj nudelete coments yangu
Hao wambea waweke pembeni, mpe kura mwanaume anaeumiza akiliHata member wa kiume wambea tunaruhusiwa kuwataja?
Kuna mtu anatakiwa ajichukulie ushindi.
Weka undugu pembeniSaint Ivuga le shemela
Sakayo nini lakini??? Hata QUIGLEY kaka angu[emoji2] [emoji2] [emoji2]Weka undugu pembeni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] @aleppomambi best wangu
We nawe Acha kujitia majinuni au huoni kama typing error???Mambi ndo nini?
Kwa hiyo umeamka kuharibu kura sioSakayo nini lakini??? Hata QUIGLEY kaka angu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaha. Ngoja nisitoke nje ya mada. Maana nikimtaja hapa..I see you huu sasa uchokozi[emoji38] [emoji125]