mshindi atapewa nini?
Kwako pia Tuesday njema dadakeUmeonaee. Sawa kaka ake uwe na sikukuu njema.
Sawa ahsante sana kaka ake.Kwako pia Tuesday njema dadake
PouwaaaKilichonifanya niwapende kama kaka zangu ni uwezo wao mkubwa wa kufikiri that's why nimewataja
Yaani ishakuwa shida rafiki.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Umejuaje, unauhakika gani?
Umejuaje, unauhakika gani?