OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Umewahi kupata majibu kwa nini Azam iliwaacha Bocco,Nyoni,Manula,Kapombe. Huwa naona ni ujuhaMimi ni Yanga ila jamaa anaitwa
Erasto Nyoni mchizi anafaa kuwa mchezaji bora kabsa
Kwa kweli Nyoni amekuwa ktk kiwango bora sana.Mimi ni Yanga ila jamaa anaitwa
Erasto Nyoni mchizi anafaa kuwa mchezaji bora kabsa
Nadhani ilikuwa ni kubana matumiziUmewahi kupata majibu kwa nini Azam iliwaacha Bocco,Nyoni,Manula,Kapombe. Huwa naona ni ujuha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ushabiki mbele kwa mbele CHIRWAAAAAAA
Mpango mkakati hao ni mamluki ili Simba iwe bingwa..na usijifanye hujui..wapi Duniani umeona unawauzia wapinzani wako key players wanne kama sio upuuzi wa wanna be ArabsUmewahi kupata majibu kwa nini Azam iliwaacha Bocco,Nyoni,Manula,Kapombe. Huwa naona ni ujuha
Sio lazima mchezaji bora atoke kwenye timu iliyotwaa ubingwa..mwaka Jana Tsabalala na England Mo Salah LiverpoolKwangu ni Nyoni ama Okwi
Huko kwenu nani anafaa,acha ulalamishiSio lazima mchezaji bora atoke kwenye timu iliyotwaa ubingwa..mwaka Jana Tsabalala na England Mo Salah Liverpool