brasy coco
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 1,489
- 900
Vodacom ndo wezi wakuu. Kesho wasiponirudishia 10,000/- au bomba 7 yangu nafungua new thread kuanika uozo wao.
Customer care kwenye namba hii 15366 ni hovyo na wanalijua suala la wizi huu.
mimi ni mteja wa muda mrefu wa airtel, lakini kwa sasa wanibore sana, gharama zao za upigaji simu ziko juu sana, hivi kweli ktk ulimwengu wa mkonga bado tunalipia sh.6 kwa dakika kama sio wizi nini sasa, halafu eti wanatangaza senti 10 kwa sekunde eti ni gharama nafuu.
mimi nawaomba wapunguze gharama zao za kupiga simu, kwanini isiwe shilingi 1 kwa dakika
Mkuu, hawa mbwa kwenye ishu ya vifurushi mi wameniliza mara kibao tuVodacom ndo wezi wakuu. Kesho wasiponirudishia 10,000/- au bomba 7 yangu nafungua new thread kuanika uozo wao.
Customer care kwenye namba hii 15366 ni hovyo na wanalijua suala la wizi huu.
Ndiyo! Unashangaa huelewi nini sasa hapo?Mkuu,shilingi 1 kwa dakika?
Ndiyo! Unashangaa huelewi nini sasa hapo?