Piga simu hapa bila kutumia vocha hata mia yako

Piga simu hapa bila kutumia vocha hata mia yako

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyo jieleza hapo juu

Piga cm inch yeyote ile
Piga cm kwa mtu yeyote yule piga cm hata kama ni kwa rais au hata kama ni kwa dk shika
Piga kwa taas yeyote ile
Mpigie cm member yeyote
Hata kama ni mimi nipigie lakin usinibipu mkuu maana ukinibipu mimi nitakupigia

Ni hayo tu

LONDON BABY
 
Haloo haloo wakuu nimewapigia nataka kuwauliza swali moja iv et ni kosa kwa msukuma dk shika kununua nyumba ya msukuma lugumi kwenye nchi ya msukuma magufur ndan ya mkoa wa msukuma makonda afu askofu mkuu akiwa ni msukuma gwajima
 
halo mambo vipi naona umeamka na wasukuma leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
halo mambo vipi naona umeamka na wasukuma leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa ndo wanakamata hedline za nchi kwa sasa
 
Baby boy?????????!!!!!!
Mhh wee ni wa aina gani? Haloo
 
Back
Top Bottom