Piga tena huenda alikuwa bafuni πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† Pole jikaze.

Badilisha password ya wifi mana unaona wivu
 
Huyo ni cha wote, kubali kuingia kwenye system mkali
 
Daaah tulimwambia lkn akakaza fuvu amekuja analia sana kama amechanganyikiwa
Kumbe mshenz anatumia dawa za kulevya na shisha

Alikula mbata za kufa mtu bahat yake polis walikuja chap wakamtoa
Lakn zengwe halikuisha lipo sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…