hiyo ni project ambayo imefanikiwa kuingia round nyingine ya kupigiwa kura katika shindano la kimataifa la uandishi wa miradi inayoweza kuisaidia jamii ya dunia,shindano linaitwa youth entrepreneurship competition,chief1 pengine ungeweka ufafanuzi kidogo kabla hatujafungua hiyo link tujue ni nini kinaendelea.
Kumbe ni hivo, basi sina haja ya kuipigia kura!! Haya mambo ya kura kura ndiyo yaliyotufikisha hapa, ikiwa bora itajipigia yenyewe...hiyo ni project ambayo imefanikiwa kuingia round nyingine ya kupigiwa kura katika shindano la kimataifa la uandishi wa miradi inayoweza kuisaidia jamii ya dunia,shindano linaitwa youth entrepreneurship competition,
ukishafungua hiyo link ukiscrow down utakuwa link ya rangi ya orange iliyoandikwa VOTE NOW!, na kuna kibox cha namba, ukishajaza zile namba kwenye column then una voter!
unaweza kuvote mara nne kila siku
project unaweza kuisoma pia hapohapo