Pigia kura vivutio vya utalii Tanzania, ili kuongeza idadi ya watalii

Pigia kura vivutio vya utalii Tanzania, ili kuongeza idadi ya watalii

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Onyesha uzalendo pigia vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania kwenye link hiyo hapo chini tusaidie kuvutia watalii nchini kwetu.

Ni rahisi tu. Wakenya huwa wanatupiga bado eneo hili. Tupende vyetu.

Vote – World Travel Awards
 
Muwe mnaweka mifumo rahisi kwa wapiga kura, tunaojua kufungua hivi ni wachache sana.
 
Ukishapiga kura, unapewa na pesa au ni bure tu?
Kama ni bure hiyo ni BIG NO.
 
Back
Top Bottom