Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Kwa wale wenzangu na mimi mnaodaka pesa mtandaoni mtakuwa manijua payoneer njia inayokuwezesha kuwa na akaunti ya dollar marekani na kadi ya kuwithdraaw pesa yako kwenye atm yoyote, au ukawa na akaunti ya Euro Ujerumani na kadi ya kuwithdraw pesa yako au Pound account U.K.
Sasa kadi za payoneer nje ya U.S uwa zinatolewa na kampuni inajulikana kama Wirecard AG ambayo ni kampuni iliyoko U.K. Kuna mgogoro baina ya FCA na hiyo kampuni ya wirecard AG hivyo card zote za payoneer zinazotolewa na hiyo kampuni kwa sasa hazifanyi kazi, na pesa iliyokuwemo imekuwa frozen.
Kamaulikuwa na salio kwenye account yoyote liko frozen isipokuwa salio litakaloingia kuanzia sasa litaweza kutolewa kwa kulihamishia kwenye local account kama CRDB.
Hawajasema tatizo litatuliwa lini ila ni pigo kwetu maana nami nilikuwa na salio langu limekuwa frozen.