Pigo kubwa CHADEMA, Lazaro Nyalandu arejea CCM, Aiponda Vibaya sana

Joined
Dec 31, 2019
Posts
3
Reaction score
1
Screenshot_20210430-145222.jpg
 
Hili lilifahamika mapema
Hakuna wa kumshangaa mwingine
Chadema ccm wote ngoma draw
Aliondoka mwanachama mtiifu wa ccm Chadema ikapikea galasha sasa ccm imepokea galasha squared
Hawa ndio watawala sio viongozi
Nadhani ingekuwa vyema hata ccm wakajiuliza nini lengo la huyu mwanachama bandia
Kufurahia galasha ni kutokujitambua period!
Chadema tuliwaambia sijui kwa nini hamjifunzi kwa makosa yaleyale
Covid19 nao mtawapokea ni jambo la muda tu
Nyalandu tuliongea humu ni opportunist rather than utu
 
paukwa
 
Back
Top Bottom