HARUNA HUSEINI MAPUNDA
New Member
- Dec 31, 2019
- 3
- 1
bado na huyu atarejea ccm muda siyo mrefuHebu acha kuandika upumbavu!!!! Fisadi nyalandu kwa lipi hasa hadi awe pigo kubwa kwa Chadema? π³
paukwaHili lilifahamika mapema
Hakuna wa kumshangaa mwingine
Chadema ccm wote ngoma draw
Aliondoka mwanachama mtiifu wa ccm Chadema ikapikea galasha sasa ccm imepokea galasha squared
Hawa ndio watawala sio viongozi
Nadhani ingekuwa vyema hata ccm wakajiuliza nini lengo la huyu mwanachama bandia
Kufurahia galasha ni kutokujitambua period!
Chadema tuliwaambia sijui kwa nini hamjifunzi kwa makosa yaleyale
Covid19 nao mtawapokea ni jambo la muda tu
Nyalandu tuliongea humu ni opportunist rather than utu
Fisadi alikuwa kamati kuu?Hebu acha kuandika upumbavu!!!! Fisadi nyalandu kwa lipi hasa hadi awe pigo kubwa kwa Chadema? [emoji15]
Fisadi alikuwa kamati kuu?