Pigo kubwa kwa Kenya laja kutokea Tanzania

hakuna ungainly mtauza kenya na huo unafik wenu
 
Kampuni ya Unga group iko na viwanda vya mahindi in Uganda and Dar.
We take your maize, process it, sell it back to you, then take the profit back to Kenya, kwa hio game ya biashara mtauma meno siku zote...

Remember what happened when you banned exportation of unprocessed milk to Kenya and processed milk from Kenya....
 
You are a liar. Uga group closed Tz Mill in 2011.
Such a shame for you to lie
Unga Group set to wind up dormant Tanzania subsidiary
 
Sema ugali uliopikwa na wakenya maana amjui kabisa kupika wakenya mnapika Ugali kama wa shimo la chewa prison
Mimi na ugali maadui wakubwa.
 
Safi
 
Sema ugali uliopikwa na wakenya maana amjui kabisa kupika wakenya mnapika Ugali kama wa shimo la chewa prison
Mimi hula ugali ya wimbi babaa sio mahindi.
 
Hiyo company ilikua lini Tanzania? Nipe evidence
 
You are a liar. Uga group closed Tz Mill in 2011.
Such a shame for you to lie
Unga Group set to wind up dormant Tanzania subsidiary
Hawa jamaa zako wengi hawana information, pili wanatapatapa kutumia kila uongo na njia mbali mbali kujaribu kuitetea Kenya, nchi ambayo uchumi wake upo mikononi mwa mabepari wachache, wao hawajui kitu zaidi ya kutetea mfumo dhalimu wa mabepari. Kwa kifupi Magufuli atazamisha kabisa uchumi wa Kenya kama wakenya wataendelea kushindana naye.
 
There about 47 LDC countries world wide, but only seven to nine failed states, congratulation for being among the few[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kenya ranked as 'failed state'
The bigger the crowd, the worst the reputation. Si unajua pia Turkey ni failed State na tupo nao hapa kwa hapa...onyesha mimi Turkey na Kenya kwa hii ramani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…