rutegeramisi gwategera
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 446
- 494
Hapo kuna ukweli hata kama sitakiwi kukusifia ulichoandika kinaumiza akiliNdio maana mpo maskini miaka yote maana kila kitu mnafanya mkiwaza Kenya, jameni mumezungukwa na nchi nyingi sana, mbona msiziwaze na hizo pia.
Nawaonea huruma siku zote maana itawachukua muda mrefu sana kuifikia Kenya, kainchi ketu kadogo lakini kamewanyima usingizi vizazi hadi vizazi pamoja na kwamba liinchi lenu lina kila kitu.
Wali, Ndizi , Viazi, n.k lakini unga wa mahindi ni chakula cha mifugo basi tu ni njaaHahaa.. Mkuu rich food ni zipi?
Be your own judge.How can I asses his /she face wakati humu ni anonymous na avatar yake ni ya Rais Kenyatta au una maanisha Kenyatta ni Mfipa?
My judgement is after many reconciliation with wazee Wa mahakamaBe your own judge.
Mimi nazani rich food ni chakula chenye nutrients, sasa unga wa mahindi hasa ukiwa huja kobolewa unakuwa nazo za kutosha. Ila economicaly una fall under inferior goodWali, Ndizi , Viazi, n.k lakini unga wa mahindi ni chakula cha mifugo basi tu ni njaa
Wali, Ndizi , Viazi, n.k lakini unga wa mahindi ni chakula cha mifugo basi tu ni njaa
na hata ukipitia Mozambique watamkuta Azam sealink akiwangoja kuvusha chakula Chao!sawa.... ila gharama za kusafirisha lazima zita double.
kumbukeni,mzigo unaotoka zambia au malawi lazima kwanza upitie tz ili tuhakiki. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Always low IQs discuss people personalitiesMine too concludes that the said subject is a Mfipa.
Come again selekta.Always low IQs discuss people personalities
Itakua safi maana hata Kwenye bahari lazima mtumie eneo letu la bahari kwa meli zitakazopita, mtatuongezea mapato ya bahari... Kivyovyote hamuwezi mkatukwepa, you depending on us for your survival..Tunayapitishia Maputo, Mozambique na kuyavukisha na Meli hadi Mombasa tena in Bulk sio trucks. Kwa Economics ndio inaitwa economy of scale...the more you transport at once the cheaper the commodity.
Itakua safi maana hata Kwenye bahari lazima mtumie eneo letu la bahari kwa meli zitakazopita, mtatuongezea mapato ya bahari... Kivyovyote hamuwezi mkatukwepa, you depending on us for your survival..
Kwa fikira zako ndogo unafikiria zenu zinapitia wapi zikitoka pande ya Suez canal???Itakua safi maana hata Kwenye bahari lazima mtumie eneo letu la bahari kwa meli zitakazopita, mtatuongezea mapato ya bahari... Kivyovyote hamuwezi mkatukwepa, you depending on us for your survival..
Kuna mipaka ya kimataifa ambapo meli hupita bila kuomba Ruhusa ya nchi yoyote but in Tz Kenya Mozambique case ni lazima meli itumie maji ya Tz, Meli haziwezi kuzunguka kwenda mbali kuepuka mipaka yetu eti kisa kukwepa Tax, so Kivyovyote without us mtakua mnajitekenya tu na kuchekaKwa fikira zako ndogo unafikiria zenu zinapitia wapi zikitoka pande ya Suez canal???
Ukizitoa akili zako finyu mfukoni unitag and quote me.Kuna mipaka ya kimataifa ambapo meli hupita bila kuomba Ruhusa ya nchi yoyote but in Tz Kenya Mozambique case ni lazima meli itumie maji ya Tz, Meli haziwezi kuzunguka kwenda mbali kuepuka mipaka yetu eti kisa kukwepa Tax, so Kivyovyote without us mtakua mnajitekenya tu na kucheka
Ni kawaida kwa wa Africa kutodhamini vitu vyao sababu ya colonial effects tuliaminishwa vitu vyote vya muafrika ni vya kishenzi ingekua ni McDonald's vingeonekana ni vitu vya maanaMimi nazani rich food ni chakula chenye nutrients, sasa unga wa mahindi hasa ukiwa huja kobolewa unakuwa nazo za kutosha. Ila economicaly una fall under inferior good
Vyakula vyote hapo ulivyosema ni vya maana ni Vyakula vya carbohydrates just like maize kitaalamu hapo ni Sawa na kusema water ni nzuri lakini maji ni sumuWali, Ndizi , Viazi, n.k lakini unga wa mahindi ni chakula cha mifugo basi tu ni njaa
Soma rule no 2 vizuri uelewe .. Hizo meli zitapita kwenye maji yetu for a specific reason and its only for the business between Kenya and Mozambique hapo ni lazima mlipe but ingekua ni meli Kama Maersky inayofanya biashara Duniani Kote rule no 1 Inge applyUkizitoa akili zako finyu mfukoni unitag and quote me.
SECTION 3. INNOCENT PASSAGE IN THE TERRITORIAL SEA
SUBSECTION A. RULES APPLICABLE TO ALL SHIPS
Article17
Right of innocent passage
Subject to this Convention, ships of all States, whether coastal or land-locked, enjoy the right of innocent passage through the territorial sea.
Article18
Meaning of passage
1. Passage means navigation through the territorial sea for the purpose of:
(a) traversing that sea without entering internal waters or calling at a roadstead or port facility outside internal waters; or
(b) proceeding to or from internal waters or a call at such roadstead or port facility.
2. Passage shall be continuous and expeditious. However, passage includes stopping and anchoring, but only in so far as the same are incidental to ordinary navigation or are rendered necessary by force majeure or distress or for the purpose of rendering assistance to persons, ships or aircraft in danger or distress.
Article26
Charges which may be levied upon foreign ships
1. No charge may be levied upon foreign ships by reason only of their passage through the territorial sea.
2. Charges may be levied upon a foreign ship passing through the territorial sea as payment only for specific services rendered to the ship. These charges shall be levied without discrimination.
Huwezi saidika sijui kizungu ndio shida ama ni ujinga wako umekolea kwenye DNA.Soma rule no 2 vizuri uelewe .. Hizo meli zitapita kwenye maji yetu for a specific reason and its only for the business between Kenya and Mozambique hapo ni lazima mlipe but ingekua ni meli Kama Maersky inayofanya biashara Duniani Kote rule no 1 Inge apply