Pigo kubwa kwa Shafihi Dauda najua utakuwa umejifunza

Pigo kubwa kwa Shafihi Dauda najua utakuwa umejifunza

Ukiazisha huuu ujinga hatufiki popote yeye ni mchambuzi

Ureno kwenye Euro 2016 aliitwa underdog akachukua ubingwa .

Acha umanara kenge wewe.
 
Uliiponda sana Simba sasa aibu imekufika,siku nyingine usirudie kumkebei Simba mnyama kwenye nguvu nyingi.
Huyu jamaa anajifanya anaujua sana mpira anasikiliza wachambuzi wa ulaya kisha anajifanya anatuchambulia kumbe wengine tunakuwa tumeusikia uchambuzi wa wachambuzi wa ulaya.Yeye na luambano waendelee kuishangilia Yanga tu "This is Simba"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba imeiletea nchi yetu heshima kwenye ulimwengu wa soka la Africa. Waliotuponda wote kimya! Kudadadeki
 
Hakuna kiumbe aliyejishushia heshima Kama Shaffii Dauda kwenye huu ushindi wa Simba. Naaamini WanaSimba makini wameanza kudharau hata WEBSITE yake na hivyo hata mapato yake yatapungua kiasi fulani, ipo hajja aitishe Press Conference aombe radhi kwa Wanasimba.
 
Huyu jamaa anajifanya anaujua sana mpira anasikiliza wachambuzi wa ulaya kisha anajifanya anatuchambulia kumbe wengine tunakuwa tumeusikia uchambuzi wa wachambuzi wa ulaya.Yeye na luambano waendelee kuishangilia Yanga tu "This is Simba"

Sent using Jamii Forums mobile app
Shaffih Dauda alitakiwa awe bank clerk ndo professional yake ila mpira basi tu ujanja wa mjini kapata ulaji, underdog Simba kuliko js Soura timu iliyoanzishwa 2008? Mara Oooh timu gani sijui inakuja kuchukua point 9 kwa Simba haya sasa hizo timu zake kubwa hakuna aliyeshinda taifa..
C. C Shaffih badilika kukosa kwako uongozi Simba usiikandie timu kabla mechi hazijaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom