Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kwamba siku hiyo dhidi ya KMC hakucheza?
Kwa mujibu wa line-up iliyotolewa katika page ya Simba. Sikufuatilia mechi, ila labda kama ilibadilishwaKwamba siku hiyo dhidi ya KMC hakucheza?
Hakucheza hiyo mechi dhidi ya KMCKwa mujibu wa line-up iliyotolewa katika page ya Simba. Sikufuatilia mechi, ila labda kama ilibadilishwa
Upo sahihi mkuu hapa anaungana na babu boka tangu wasajiliwe ni pancha tu sababu ya uzee.Alio Anza nao mpira wote wamesha staafu, kaja Tanzania eti ana miaka 20 Matokeo yake pancha haziishi.