round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Ndio maana nimeandika kwa watu wasio na matatizo ya kiafya, hao wenye b.p. wanaweza kata moto kitandaniAlaah, kumbe watu wenye presha ya kupanda wanatengeneza mbegu nyingi kuliko watu wote
Kwa uzoefu wangu mbegu hutengenezwa vizuri pale mtu anapokula mlo kamili/hasa protein na kupata usingizi wa kutosha
Kutojishughulisha na Erection ni mapachaNo reform no erection