Vizuri unaitambua slogan ya hapa kazi tu.hongera jombaHalafu wewe Magonjwa mtambuka mbona una ujinga sana kichwani? Hivi isingekuwa upinzani hii jitihada ya serikali angalau kuwajibika kwa wananchi ingekuwepo? Mnaoombea upinzani ufutike nadhani kichwani mwenu mmejaza makamasi tu. Bila upinzani hata hii hapa kazi tu isingekuwepo.
Sijaandika kwa ajili yako, ila kwa wasomaji wengine. Swali lako lilikuwa zuri sana.Huu ni uthibitisho uchwara.
Ok.Sijaandika kwa ajili yako, ila kwa wasomaji wengine. Swali lako lilikuwa zuri sana.
CDM hoyeeee! Chama kinazidi kukomaa na kutakata. Watakufa kisiasa lakini CDM itazidi kupaa.Mbowe anazidi kubamizwa.
Muro si mtu wa njaa njaa kama unavyojaribu kufikiri. Ni aina ya watu wanaoridhika na walichonacho na aina ya watu wanaotafuta "self esteem" wala sio ulaji.
kweli si mtu wa njaa, lakini ungeeleza njaa ipi? Mimi naona kama ana 'njaa' sana (ya haki). CCM - CHADEMA - NCCR - ..........?? Namshauri aanzishe chama kingine amabacho atakiongoza kama anavyotaka.Muro si mtu wa njaa njaa kama unavyojaribu kufikiri. Ni aina ya watu wanaoridhika na walichonacho na aina ya watu wanaotafuta "self esteem" wala sio ulaji.
Martin Luther alipayaona mapungufu ya kanisa katoliki. Akapambana kwa kuanisha kasoro na kutaka mabadiliko kwa kufanyia kazi hayo marekebishoAmejitahidi kueleza kwa utulivu kiasi cha kuaminisha kuwa kuna matatizo ya msingi ndani ya CHADEMA. Kinachoshangaza ni kuwa anaonyesha tangu aingie, alikuwa hakubaliani au hapatani na mengi yanayoendelea ndani ya chama hicho kiasi cha kujiuliza alikuwa anafanya nini huko muda wote huo? He has all the time been against the Party and its leaders. Alikuwa anafanya utafiti au ushushushu?
Pili, inakuwaje anaondoka kipindi hiki ambapo watafuta fursa (opportunists) wengi wanahama CHADEMA baada ya kutishiwa na dola kuwa nafasi zao zitaminywa na chama kitanyongwa katika uchaguzi mkuu 2020? Tatu, cha kushangaza zaidi, anahamia NCCR-MAGEUZI of all parties? Anatarajia mema yepi huko?
Mtu aliyeridhika na maisha yake si rahisi kujihusisha na siasa za vyama Tanzania kiasi cha kupania kwenda NCCR ya Mbatia. Kuna fursa huyu naye anaifukuzia. Na anajua NCCR na Mbatia wameandaliwa nini na Serikali ya CCM. He’s just another smart politician. Hiyo press conference ni kuwaonyesha mabwana wapya uwezo wa kuibomoa CHADEMA kwa “hoja”. Muendelezo wa dirty politics.
Njaa niliyomaanisha ni ya pesa kwasababu mdau alikuwa anaelekea huko kwa kusema "wamefika bei"kweli si mtu wa njaa, lakini ungeeleza njaa ipi? Mimi naona kama ana 'njaa' sana (ya haki). CCM - CHADEMA - NCCR - ..........?? Namshauri aanzishe chama kingine amabacho atakiongoza kama anavyotaka.
Katika maisha ya pamoja huwa kuna kukubaliana, kutokubaliana, na pia kukubaliana kutokubaliana, na pia kutengana. Kama kwako kila inapotokea kutokubaliana suluhu yako ni kutengana - sijui utatengana na wangapi!!
Tayari ushafungua thread hapo, Ila kweli akili za mbayuwayu!!Mbowe anazidi kubamizwa.
Kwa hiyo?Tayari ushafungua thread hapo, Ila kweli akili za mbayuwayu!!
Weka picha zaidi, hizi hazitoshi.
Endelea tu, hizi haitoshi.
Mbona unaweka picha chache, umeishiwa?
Musthapha Mtoto wa Forest Hill Morogoro. Hatimaye umestuka uka-Mbowe anazidi kubamizwa.
Utaishiwa ww na wasanii wenzio hao iwe wa hai au kigoma mjini...Mbona unaweka chache, umeishiwa?