P PAPAA ZM Member Joined May 11, 2010 Posts 8 Reaction score 0 Jul 6, 2010 #1 :frusty:jamani wazee wa jammiforum mi ndiyo nime ingia ukumbini hivyo naomba muni karibishe kwa mikono miwili. asanteni!!!!!!!!!!!
:frusty:jamani wazee wa jammiforum mi ndiyo nime ingia ukumbini hivyo naomba muni karibishe kwa mikono miwili. asanteni!!!!!!!!!!!
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,803 Reaction score 1,601 Jul 6, 2010 #2 Karibu snaa umeingia kwa gia zote :A S tongue:
Sinkala JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 1,773 Reaction score 688 Jul 6, 2010 #3 Sasa mbona unaingia kwa fujo?
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,039 Reaction score 7,465 Jul 6, 2010 #4 karibu, twala biriani hapa!! kanawe kule uwani je tule!!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jul 6, 2010 #5 Punguza wingi wa hizo honi zako. Adabu ya wapi unaenda ukweni na kuanza kupuliza vuvuzela?
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 Jul 6, 2010 #6 Karibu saaana janvini ila wewe mzoefu hapa hii itakuwa ID yako ya Nne au zaidi
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Jul 6, 2010 #7 Karibu sana
AK-47 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2009 Posts 1,373 Reaction score 202 Jul 6, 2010 #8 King of Kings said: Karibu saaana janvini ila wewe mzoefu hapa hii itakuwa ID yako ya Nne au zaidi Click to expand... Duuh ! kwa hiyo ni mwenyeji mgeni ?...Alafu hiyo mijihoni ya nini mbwembwe zingine bwana. Haya karibu tena jamvini.
King of Kings said: Karibu saaana janvini ila wewe mzoefu hapa hii itakuwa ID yako ya Nne au zaidi Click to expand... Duuh ! kwa hiyo ni mwenyeji mgeni ?...Alafu hiyo mijihoni ya nini mbwembwe zingine bwana. Haya karibu tena jamvini.
minda JF-Expert Member Joined Oct 2, 2009 Posts 1,068 Reaction score 67 Jul 8, 2010 #9 utachangia nini jamvini? karibu sana!