Piki piki 3 zipo sokon kwa bei nafuu

Piki piki 3 zipo sokon kwa bei nafuu

Joined
Aug 9, 2013
Posts
23
Reaction score
5
Nina piki piki tatu aina ya cluser,moja mpya kabisa na nyingine mbili ni good second hand (zimetumika kdogo) na zote zimesajiliwa kila kitu pamoja na bima, bei ni kuanzia SH.MILION MOJA NA LAKI MBILI (1.2m) kwa aliyesiliaz tuwasiliane 0717342771 nipo dar.INGINE CAPACITY 150, insurance inaisha Mwez wa6 mwka 2014,seating capacit 2,imetengenezwa 2010,imesajiliwa mwez wa 6 mwaka 2013.
 
sawa tuwekee picha, engine size, na mwaka uliozisajili kwenye kama ilivyo kwenye kadi :cool2:
 
Wka picha uletewe Pesa.
Then jibu swali mswali ya jamaa hapo juu kwamba kwanini unauza na weka engine size
 
sawa tuwekee picha, engine size, na mwaka uliozisajili kwenye kama ilivyo kwenye kadi :cool2:

engine cc 150,imetengenezwa mwka 2010,insurance imekatwa mwez wa 6 mwaka huu..inaisha mwez wa 6 mwaka 2014.
 
Back
Top Bottom