Wakuu nahitaji pikipiki aina ya BOXER BM 150 kwa dau la 1.2m hapo juu
kama unayo na unahitaji kuiuza ni PM fasta
iwe kwenye hali nzuri,nataka serious seller only
iwe na document zote...SINA LONGO LONGO
NIKIIPENDA NI HAPO HAPO TUNAMALIZANA
Niko dar....
Wote mnakaribishwa
Toa 1.4m ipo imetumika miez 6, no T 1..CQP. nyeusi, nichek 0714495367 niko.dar
Wakuu nahitaji pikipiki aina ya BOXER BM 150 kwa dau la 1.2m hapo juu
kama unayo na unahitaji kuiuza ni PM fasta
iwe kwenye hali nzuri,nataka serious seller only
iwe na document zote...SINA LONGO LONGO
NIKIIPENDA NI HAPO HAPO TUNAMALIZANA
Niko dar....
Wote mnakaribishwa
mmmmh, toka mwaka jana hajapata tu!! MmevurugwaMkuu una tukio unataka ukapige nini?
ukipiga nitoe basi, maana nimeuwawa Kweli!!
Weka picha